Hubby Asprin I love you today, tomorrow and always

Hilo usiwe na wasiwasi nalo, cha maana tu awe anacheza mchezo fair na sio michezo ya chukizo kwa Mungu
Ahh mwache Asprin aitwe Asprin, tunakutana kitaa anatongoza akiniona anabadilisha gear a gani tunarudi nyumbani. He is such a character 😀
 
Ahh mwache Asprin aitwe Asprin, tunakutana kitaa anatongoza akiniona anabadilisha fear a gani tunarudi nyumbani. He is such a character 😀

Kama ni wa hivyo hayo manjonjo mie siyawezi, mie napenda moja kwa moja na sitongozi tena, nina gea moja tu, na nikiingiza ingine haziwezi ingia kabla sijachomoa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…