Hububujikwa na machozi kila nikiona wanafunzi na wanavyuo wakilia na serikali kuhusu kero zao

Hububujikwa na machozi kila nikiona wanafunzi na wanavyuo wakilia na serikali kuhusu kero zao

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Posts
5,404
Reaction score
239
Pale ninapowaona kwenye kupitia luninga wakiilalamikia serikali kero mbali mbali wakati wakitafuta elimu – kero kama huduma duni vyuoni/mashuleni, ukosefu wa chakula cha kutosha, ukosefu wa walimu, vifaa vya kujisomea kama vile maabara na vitabu na kero zao nyingi nyingine. Na hasa pale tunaona wanasiasa na viongozi wa serikali hii ya CCM wakifuja pesa, wakiiba na kujitajirisha, wakipokea milungula na kuweka mabilioni huko Uswisi na kwingineko kutokana na mikataba mibovu nay a siri isiyokuwa na masilahi kwa taifa. Halafu hapo hapo wanajaribu kutafuta visababu vya kushindwa kuboresha elimu na mazingira yake. Ndiyo, huwa nabubujika machozi na kuilaani sana serikali ya CCM.
 
Mimi huwa nalia hasa -- haya magamba hayajali kabisa elimu, wanachojali ni matumbo yao! Siyapendi kabisa.
 
Kweli inatia machungu sana, hasa pale twaambiwa nchi tajiri lakini watoto wetu wanapata elimu kwa njia za tabu sana na kudhalilishwa.
 
Pale ninapowaona
kwenye kupitia luninga wakiilalamikia serikali kero mbali mbali wakati
wakitafuta elimu – kero kama huduma duni vyuoni/mashuleni, ukosefu wa
chakula cha kutosha, ukosefu wa walimu, vifaa vya kujisomea kama vile
maabara na vitabu na kero zao nyingi nyingine. Na hasa pale tunaona
wanasiasa na viongozi wa serikali hii ya CCM wakifuja pesa, wakiiba na
kujitajirisha, wakipokea milungula na kuweka mabilioni huko Uswisi na
kwingineko kutokana na mikataba mibovu nay a siri isiyokuwa na masilahi
kwa taifa. Halafu hapo hapo wanajaribu kutafuta visababu vya kushindwa
kuboresha elimu na mazingira yake. Ndiyo, huwa nabubujika machozi na
kuilaani sana serikali ya CCM.

Wapinzani kwenye halmashauri wanazoziongoza wamefanya nini
 
Back
Top Bottom