Huddah monroe anatarajia mtoto: Anataka apewe heshima

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Huddah Monroe baada ya siku nyingi za kuwadiss wasanii wenzake na kuingia katika skendo za aibu, sasa ameamua kuingia katika mtandao na kuwaomba mafans na mahasimu wake wampe heshima.

Huddah amechukua hatua hio baada ya kufunguka kuwa yuko karibu kuwa mama hivi karibuni.

Katika mitandao, Huddah amebandikwa jina la kimombo 'socialite' kiufupi kiswahili kama malaya vile, soo Huddah ameamua kutaka kujeuza mtazamo huo kwa kila mtu na anaomba apewe heshima yake.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Huddah aliandika kuwa katika mitandao husoma mengi jambo ambalo humfanya yeye kucheka sana na si vyema kuitwa 'socialite, na anataka apewe heshima kwani yuko karibu kujifungua hivi karibuni.

Chanzo HUDDAH MONROE ANATARAJIA MTOTO: ANATAKA APEWE HESHIMA - bkuHABARI
 
Socialite=Malaya??......I Begoooooo....
 
Walahi narudi kindergarten kumbe socialite kwa kiswahili inamaanisha malaya?

Mmmmmh
 
Ameolewa? Au ni mimba inayotokana na zinaa?
 
Socialite kule nairobi wanaitafsiri malaya kama slang ya lugha ya kiswahili....hahaha #Badili Tabia haina haja kurudia tena kusoma,,,hebu shika dictionari uangalie mfanano mwingine wa hilo neno
 
Huyu huddah ndio nani. Hebu wekeni picha tumuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…