Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Mrembo kutokea nchini Kenya na mpenzi mpya wa msanii wa BongoFleva Jux amesema kuwa yeye havai chupi kwasababu sehemu zake za Siri hazinuki.Chupi ni kwa ajili ya watu wanaonuka tupu zao!
"Sivai nguo za ndani. Sina yeyote ile, nguo za ndani ni kwa ajili ya watu wanaonuka sehemu za siri"_Huddah Monroe
Je,yuko sahihi?