Huddah Monroe: Sinuki sehemu za siri, sivai nguo za ndani

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731

Mrembo kutokea nchini Kenya na mpenzi mpya wa msanii wa BongoFleva Jux amesema kuwa yeye havai chupi kwasababu sehemu zake za Siri hazinuki.Chupi ni kwa ajili ya watu wanaonuka tupu zao!

"Sivai nguo za ndani. Sina yeyote ile, nguo za ndani ni kwa ajili ya watu wanaonuka sehemu za siri"_Huddah Monroe

Je,yuko sahihi?
 
Amesema kuwa yeye havai chupi kwasababu sehemu zake za Siri hazinuki.Chupi ni kwa ajili ya watu wanaonuka tupu zao!

"Sivai nguo za ndani. Sina yeyote ile, nguo za ndani ni kwa ajili ya watu wanaonuka sehemu za siri"[emoji23]
 
Kwa hiyo Huddah haendagi mwezini πŸ™„
Kwani chupi zimeanza kuingia lini mrembo ? Au mabibi wa mabibi zetu wa mabibi zetu walikuwa wana vaa chupi ? Atakuwa ana namna anafanya inauo kidhi hiyo ada yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…