Huddah Monroe: Sinuki sehemu za siri, sivai nguo za ndani

Mama yake havai?
 
Kinachomfanya ajistukie ni ile tabia ya asili ya wanawake wa huko na hata kwa M7 na wengineo kuiga uzungu wa kutumia karatasi kuchambia.

Chupi haileti harufu mbaya bali uchafu wa kutotawadha vema.. Wanawake wa huko hata umkute msafi na mzuri kiasi gani na marashi ya gharama akivua chupi lazima ukutane na kaharufu fulani kanakokera mno

Hiyo hali ni vigumu kukutana nayo hapa kwetu na hata Mombasa kutokana na wanawake kutumia maji safi kutawadhia
 
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£ Unaongelea experience nini? lakini kuna ka ukweli, KE girls usafi 🀏
 

Bwana Jux amezidi kuhangaika sana sasa limemfika jambo[emoji23][emoji23]
 
Jux anafeli sana. Anashindwa kutumia title yake aibuke na kazi ya maana isiyo na jina mjini halafu awake nayo?!

Huddah ni prostitute na ameshakitembeza sana. Sasa yeye anatengeneza mahusiano na demu ambaye ameshaliwa na kila mtu na yeye anaweka wazi kabisa kuwa ni mdangaji na slayqueen.

Jux should grow up bwana.
 

Okaaay tupe uzoefu wako zaidi mkuu
 

Huyu chalii tatizo ni kwamba anapenda mademu wakumlea!!! ndo sababu anajikuta anadokea kwa Vimeo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…