Kinachomfanya ajistukie ni ile tabia ya asili ya wanawake wa huko na hata kwa M7 na wengineo kuiga uzungu wa kutumia karatasi kuchambia.
Chupi haileti harufu mbaya bali uchafu wa kutotawadha vema.. Wanawake wa huko hata umkute msafi na mzuri kiasi gani na marashi ya gharama akivua chupi lazima ukutane na kaharufu fulani kanakokera mno
Hiyo hali ni vigumu kukutana nayo hapa kwetu na hata Mombasa kutokana na wanawake kutumia maji safi kutawadhia