Huduma gani inakuvutia ktk Bank inayokuhudumia?

Napokwenda kutoa pesa ATM. TPB ya kimara nyumba ya 3 ninapo kaa. Ila mengine Ziro
 
Salary advance ina riba?hebu rudi tuelezee kwa utulivu kabisa
Kuna uzi humu unazungumzia hii kitu kwa kina. Ila yes inariba ya asilimia tano. Mfano ukikopa lak riba ni elf 5.

Mtaan tulikuwa tunapigwa elf 20 kwa kila lak. Yaan unachukua lak unalipa 120.

Ila sasahv nikiwa na dharua ni mimi na simu yangu tu done.
 
Vigezo vya kutumia hii huduma ni vipi tafadhali....
 
Napenda jinsi ATM zipo chache
TPB banki Wapo kwenye mtandao wa Umoja ATM. Mtandao una Benki za ndani zaidi ya 40Mtandao una zaidi ya 250Atms. Pia wanaongoza kwa kuwa na ATM nyingi kwenye huu mtandao! ATM zao muda mwingi zipo online! Wako vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…