peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Makamba,
Kupiga namba hiyo kupata huduma ya dharura ya TANESCO ni ndoto kupata msaada.
Kupiga namba hiyo kupata huduma ya dharura ya TANESCO ni ndoto kupata msaada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza ukipiga kama umeshalipia unataka kuungamishiwa umeme nguzo zipo tu zimelala siku zinaenda yaani utaonekana una kiherehere kinyama.Makamba,
Kupiga namba hiyo kupata huduma ya dharura ya TANESCO ni ndoto kupata msaada.
habari ndugu,Makamba,
Kupiga namba hiyo kupata huduma ya dharura ya TANESCO ni ndoto kupata msaada.
mnatumika muda wote tuhabari ndugu,
tunaomba kujua ulipiga namba yetu ya huduma kwa wateja na hukupata msaada
tutashukuru sana kupata mrejesho wako kwa ajili ya ufuatiliaji zaidi