peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Jun 5, 2023 #1 Makamba, Kupiga namba hiyo kupata huduma ya dharura ya TANESCO ni ndoto kupata msaada.
Nazi Ignition JF-Expert Member Joined Jun 3, 2020 Posts 1,740 Reaction score 4,859 Jun 5, 2023 #2 peno hasegawa said: Makamba, Kupiga namba hiyo kupata huduma ya dharura ya TANESCO ni ndoto kupata msaada. Click to expand... Kwanza ukipiga kama umeshalipia unataka kuungamishiwa umeme nguzo zipo tu zimelala siku zinaenda yaani utaonekana una kiherehere kinyama.
peno hasegawa said: Makamba, Kupiga namba hiyo kupata huduma ya dharura ya TANESCO ni ndoto kupata msaada. Click to expand... Kwanza ukipiga kama umeshalipia unataka kuungamishiwa umeme nguzo zipo tu zimelala siku zinaenda yaani utaonekana una kiherehere kinyama.
TANESCO Official Account Joined Jul 12, 2014 Posts 4,600 Reaction score 2,134 Aug 1, 2023 #3 peno hasegawa said: Makamba, Kupiga namba hiyo kupata huduma ya dharura ya TANESCO ni ndoto kupata msaada. Click to expand... habari ndugu, tunaomba kujua ulipiga namba yetu ya huduma kwa wateja na hukupata msaada tutashukuru sana kupata mrejesho wako kwa ajili ya ufuatiliaji zaidi
peno hasegawa said: Makamba, Kupiga namba hiyo kupata huduma ya dharura ya TANESCO ni ndoto kupata msaada. Click to expand... habari ndugu, tunaomba kujua ulipiga namba yetu ya huduma kwa wateja na hukupata msaada tutashukuru sana kupata mrejesho wako kwa ajili ya ufuatiliaji zaidi
N ngawia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 770 Reaction score 794 Aug 6, 2023 #4 Naomba namba yenu ya whatsApp
both teams to score-YES JF-Expert Member Joined Nov 11, 2022 Posts 974 Reaction score 1,876 Aug 6, 2023 #5 TANESCO said: habari ndugu, tunaomba kujua ulipiga namba yetu ya huduma kwa wateja na hukupata msaada tutashukuru sana kupata mrejesho wako kwa ajili ya ufuatiliaji zaidi Click to expand... mnatumika muda wote tu
TANESCO said: habari ndugu, tunaomba kujua ulipiga namba yetu ya huduma kwa wateja na hukupata msaada tutashukuru sana kupata mrejesho wako kwa ajili ya ufuatiliaji zaidi Click to expand... mnatumika muda wote tu
chawa wa mama JF-Expert Member Joined Jun 8, 2020 Posts 292 Reaction score 1,084 Aug 6, 2023 #6 Hawa jamaa Ni shida, yaani kwangu maisha yangu yote umeme unakata saa 5 usiku Hadi kesho yake Tena asubuhi, ukiwapigia simu maelezo mengi bila vitendo. hamna shirika pale, Bora wangeuza TANESCO hata kwa Bei Chee waiache bandari
Hawa jamaa Ni shida, yaani kwangu maisha yangu yote umeme unakata saa 5 usiku Hadi kesho yake Tena asubuhi, ukiwapigia simu maelezo mengi bila vitendo. hamna shirika pale, Bora wangeuza TANESCO hata kwa Bei Chee waiache bandari
Na hili mkalitizame Member Joined Mar 26, 2023 Posts 42 Reaction score 68 Nov 20, 2023 #7 Kiukweli ni changamoto kubwa Kwa sasa wanapokea simu na kukuahidi kulishughulikia suala husika. Ila hakuna muendelezo!
Kiukweli ni changamoto kubwa Kwa sasa wanapokea simu na kukuahidi kulishughulikia suala husika. Ila hakuna muendelezo!