B Ben golden Member Joined May 12, 2025 Posts 21 Reaction score 7 Jul 18, 2025 #1 UNAHITAJI MSAADA MAJUMBANI? Mimi ni kijana msomi, mwenye uzoefu wa kazi za majumbani na huduma kwa watoto. Ninatoa huduma zifuatazo kwa malipo ya siku: ✅ Kufundisha watoto homework za shule ✅ Kukaa na kuwapa uangalizi watoto (Baby Sitting) ✅ Mapishi ya aina zote majumbani ✅ Kupika kwenye hafla ndogo Huduma zangu ni za uaminifu, kwa siku na kwa makubaliano. Nipo tayari kwa siku yoyote nitakayohitajika. Wasiliana nami: 📞 0674 704 593
UNAHITAJI MSAADA MAJUMBANI? Mimi ni kijana msomi, mwenye uzoefu wa kazi za majumbani na huduma kwa watoto. Ninatoa huduma zifuatazo kwa malipo ya siku: ✅ Kufundisha watoto homework za shule ✅ Kukaa na kuwapa uangalizi watoto (Baby Sitting) ✅ Mapishi ya aina zote majumbani ✅ Kupika kwenye hafla ndogo Huduma zangu ni za uaminifu, kwa siku na kwa makubaliano. Nipo tayari kwa siku yoyote nitakayohitajika. Wasiliana nami: 📞 0674 704 593
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 3,756 Reaction score 11,435 Jul 18, 2025 #2 Kila kheri mtafutajii
G granitized JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 4,869 Reaction score 11,356 Jul 18, 2025 #3 upo wapi? au unapatikana tz yote?
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 6,772 Reaction score 15,651 Jul 18, 2025 #4 granitized said: upo wapi? au unapatikana tz yote? Click to expand... Graduate anatengeneza mazingira ya kumudu mtaa. Kokote kule anafika hata mwisho wa dunia.
granitized said: upo wapi? au unapatikana tz yote? Click to expand... Graduate anatengeneza mazingira ya kumudu mtaa. Kokote kule anafika hata mwisho wa dunia.
B Ben golden Member Joined May 12, 2025 Posts 21 Reaction score 7 Jul 18, 2025 Thread starter #5 hydroxo said: Graduate anatengeneza mazingira ya kumudu mtaa. Kokote kule anafika hata mwisho wa dunia. Click to expand... Yeah
hydroxo said: Graduate anatengeneza mazingira ya kumudu mtaa. Kokote kule anafika hata mwisho wa dunia. Click to expand... Yeah
B Ben golden Member Joined May 12, 2025 Posts 21 Reaction score 7 Jul 18, 2025 Thread starter #6 Ben golden said: Yeah Click to expand... Karibu