The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
Mwezi wa pili nilinunua laini ya Airtel, nilikuwa natumia Airtel money yao pia na mambo yalikuwa sawa tu.
Tatizo juzi nimemtumia mtu pesa kutoka Airtel money kwenda mpesa,pesa haijafika na kwangu wamekata pesa,huduma kwa wateja ukifika kile kipengele cha kuongea na mtoa huduma simu inaita halafu inakata,nimejaribu mara kadhaa ila sijafanikiwa.
baada ya kuona ujinga huu wa airtel nimeamua yafuatayo:
1. Kuwafungulia kesi mahakamani.
2. Halafu kuacha kutumia mtandao wao mbovu.
3. Kuikumbusha TCRA kuangalia kampuni hizi za mitandao ya simu.
airtel mna huduma mbovu kabisa;