The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
ni airtel mkuu,japo halotel ndio upuuzi kabisa.Mkuu umeandika kuhusu halotel au airtel? Kama ni airtel basi hakuna tofauti na halotel labda majina tu..hakuna mtandao mbovu dunia nzima kama halotel
Unapoteza muda tu huwezi shinda hyo kesimwezi wa pili nilinunua laini ya airtel,nilikua natumia airtel money yao pia na mambo yalikua sawa tu.
tatizo juzi nimemtumia mtu pesa kutoka airtel money kwenda mpesa,pesa haijafika na kwangu wamekata pesa,huduma kwa wateja ukifika kile kipengele cha kuongea na mtoa huduma simu inaita halafu inakata,nimejaribu mara kadhaa ila sijafanikiwa.
baada ya kuona ujinga huu wa airtel nimeamua yafuatayo:
1. kuwafungulia kesi mahakamani.
2. halafu kuacha kutumia mtandao wao mbovu.
3.kuikumbusha TCRA kuangalia kampuni hizi za mitandao ya simu.
airtel mna huduma mbovu kabisa;
Airtel Leo nimejiunga mb 200 nikatewatega kwa kudownload fail langi la mb 80 bila kufungua popote zaido ya telegram ajabu file limeishia mb 50 salio limeisha waiz kweli nilikwa nahisi harufu ya kupigwa ila Leo nimethibitishaUnapoteza muda tu huwezi shinda hyo kesi
Airtel kwny data hawanipati tena Kwanza mtandao wao unanisumbua Sana japo naishi chini ya mnaraAirtel Leo nimejiunga mb 200 nikatewatega kwa kudownload fail langi la mb 80 bila kufungua popote zaido ya telegram ajabu file limeishia mb 50 salio limeisha waiz kweli nilikwa nahisi harufu ya kupigwa ila Leo nimethibitisha
Ni wabovu zaidi ya ubovu wenyewe...Mwezi wa pili nilinunua laini ya Airtel, nilikuwa natumia Airtel money yao pia na mambo yalikuwa sawa tu.
Tatizo juzi nimemtumia mtu pesa kutoka Airtel money kwenda mpesa,pesa haijafika na kwangu wamekata pesa,huduma kwa wateja ukifika kile kipengele cha kuongea na mtoa huduma simu inaita halafu inakata,nimejaribu mara kadhaa ila sijafanikiwa.
baada ya kuona ujinga huu wa airtel nimeamua yafuatayo:
1. Kuwafungulia kesi mahakamani.
2. Halafu kuacha kutumia mtandao wao mbovu.
3. Kuikumbusha TCRA kuangalia kampuni hizi za mitandao ya simu.
airtel mna huduma mbovu kabisa;