A Anonymous Guest Aug 22, 2025 #1 Kwakweli nimepata experience mbaya na BRELA. Kujisajiri kwenye mfumo wao ni tabu. Nimewatafuta kwenye mitandao ya kijamii pia hawatoi msaada. Nimeamua kuwapigia. Ila wakisikia tatizo langu wanakata simu. Sasa si wafunge tu ofisi tujue hawana maana
Kwakweli nimepata experience mbaya na BRELA. Kujisajiri kwenye mfumo wao ni tabu. Nimewatafuta kwenye mitandao ya kijamii pia hawatoi msaada. Nimeamua kuwapigia. Ila wakisikia tatizo langu wanakata simu. Sasa si wafunge tu ofisi tujue hawana maana
Mwanamwana Platinum Member Joined Aug 1, 2011 Posts 9,604 Reaction score 22,722 Aug 25, 2025 #2 Taasisi nyingi za serikali ndio ufanyaji kazi wao.