NSSF hata data zao hazijakaa vizuri, michango inapelekwa hawaingizi kwenye account za member, unaomba statement hawajaingiza ukiuliza wanakwambia mwajiri wako hajaleta ukirudi kwa mwajiri anakupa receipt waliyompa na list ya majina na lako lipo ukirudi wanakuzungusha mpaka utoe chochote ndio wanakushuguliki.