CCM Kwa katiba iliyopo bado mtaiba kura na mgombea wenu atapita. Ushauri wangu kuwenu serious basi badilisheni gia angani huyu mama akacheze na wajukuu Kizimkazi, hali siyo kabisa serikalini. Magufuli sikuwahi kumpenda lakini kusimamia utendaji wa serikali alikuwa very smart pamoja na madhaifu yake ya kuminya demokrasia. Huduma ofisi za serikali zilikuwa nzuri idara zote. Kwa sasa mambo siyo kabisa. Nenda polisi, nenda hospitali za serikali, nenda RITA, nenda uhamiaji,, Halmashauri zote nchini kote ni kero tu. Watumishi wanafanya watakavyo, wanajibu wananchi watakavyo, wanainbia ofisini muda wakakao, wnaondoka muda watakao, niko kesho, file halionekani imekuwa lugha ya kawaida.
Watendaji wakuu wanacheza na akili ya mama tu. Wiki hii wanaenda Kizimkazi Festival, wanaondoka na watendaji wake, wananchi wanakosa huduma. Mwananchi anaenda ofisi ya serikali kupata huduma, anaambiwa mhusika hayupo yupo Kizimkazi, Zanzibar njoo wiki ijayo. CCM waoneeni huduma wananchi, tunajua mnaweza kutupatia Nina lingine, Kati Kuunya CCM na Halmashauri Kuu tafadhali badilisheni gia angani Kwa maslahi mapema ya watanganyika. Tunajua ndugu zetu wa Zanzibar mambo ni shwari chini ya Dr. Msingi.