Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuuuuuuSemeni mtandao ulishambuliwa au ulidukuliwa? Poleni sana.
Vodacom imeshuka kiasi hiki.Wakuu,
Huduma za mtandao Vodacom zimerejea.
====
Huduma zote sasa zimerejea kama kawaida. Tunaomba radhi kwa usumbufu na tunatanguliza shukrani kwa uvumilivu wenu.
Vitu kawaida sanaa kwenye mitandao....Vodacom imeshuka kiasi hiki.
Vodacom can not be relied upon. Hata halotel Ni Bora kuliko Hawa matapeli.
Kuna wizi fulani wanasema ukijiunga kwa two hundred unaweza kupata 50,000 sijawahi kuona aliyeshinda hii zawadi. Kuna Ile NI BALAA.
Sijawahi kuona mnufaika.
Kifupi vod haina uongozi kwa sada
Wanabweteka sana hawa Vidacom. Anyway pengine ni kwa sababu wapinzani wake hawajaamua kuwa seriousVodacom kukosa mtandao muda wote ule hakuna hata sms ya kutuomba msamaha...