Huduma ya Afya na kuwa bure inawezekana ila imekaa kisiasa wazidi kuendelea kututawala

Huduma ya Afya na kuwa bure inawezekana ila imekaa kisiasa wazidi kuendelea kututawala

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Watanzania tumetawaliwa na wazawa kwa lugha rahisi ni CCM ambao wametuzoea kila kila jambo sababu wao wameshika mpini na jembe.

Swala la huduma za afya Tanzania ilitakiwa kuwa ndogo sana kwenye mifumo ya bima zake na sio lenye nguvu kama linavotumika.

Mtanzania mmoja akilipa 5000 kwa mwezi bima au kukatwa au kila sehemu itakayotumia kupata huduma kama usafiri bima itolewe shilingi 100.

Ni shingapi. Watanzania tupo wangapi?
 
Tunaongozwa na watu wenye Elimu ndogo don't expect changes recently
 
Kila mtu ajihudumie.
Unywe matapu tabu, mabia, nguruwe figo zifeli afu usumbue watu
 
Mkuu suala la Afya kuwa bure hio ndo siasa, ukweli kwa dunia ya sasa Afya itaendelea kulipiwa na sisi kama raia wa kipato cha chini tukate tu bima mambo yasiwe mengi

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom