Huduma ya Airtel ya Esim Haipatikani

Huduma ya Airtel ya Esim Haipatikani

Traveller TM

Member
Joined
May 6, 2024
Posts
45
Reaction score
77
Wakuu, Nimetembelea stores kadhaa za Airtel ku acces huduma ya esim bila mafanikio yoyote yale, Inashangaza hata Matawi makubwa kama Mlimani City nako hakuna huduma ya esim kabisa Airtel Tanzania
 
Back
Top Bottom