kichakorojack
Member
- Sep 19, 2011
- 78
- 12
Habarini za muda huu wana jf. Naombeni kujuzwa wapi ninaweza kupata huduma ya barcode kwa ajili ya bidhaa yangu kwa Dar es salaam.
Asanteni.
Asanteni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa hapa ndiyo ma agent wa barcode Tanzania, bofya: GS1 TZ National Ltd
Ukijisajili hapo Gs1 unaweza ukawa unatengeneza barcode zako kampuni inaitwa digiscan technologies iko kona ya mtaa wa samora na mkwepu, jengo la ami ghorofa ya kwanza