Huduma ya Barcode

kichakorojack

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
78
Reaction score
12
Habarini za muda huu wana jf. Naombeni kujuzwa wapi ninaweza kupata huduma ya barcode kwa ajili ya bidhaa yangu kwa Dar es salaam.

Asanteni.
 
Ukijisajili hapo Gs1 unaweza ukawa unatengeneza barcode zako kampuni inaitwa digiscan technologies iko kona ya mtaa wa samora na mkwepu, jengo la ami ghorofa ya kwanza
 
Ukijisajili hapo Gs1 unaweza ukawa unatengeneza barcode zako kampuni inaitwa digiscan technologies iko kona ya mtaa wa samora na mkwepu, jengo la ami ghorofa ya kwanza

Bei zake zikoze per barcode kwa product moja? kwa sababu gs1 ni sh 3000 kama nitahitaji barcode kuanzia 6 na kuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…