ustadhiommy
New Member
- Apr 20, 2017
- 2
- 0
Jamani ndugu zangu huyu jamaa ni tapeli .ameshaniliza pesa zangu mwaka Jana na channel niliziona siku moja tu kisha zikapotea kumpigia simu hapokei.Wadau kama unatumia kingamuz cha startimes nyumbn kwako kile cha anternal au dish naingiza channel za dstv Ziko 109 na Za Azam TV ziko package 3 popote ulipo nakupa huduma unachofanya unanitumia smart card nakupa huduma nafanya 45000 mwaka mzima free kwa information call 0717176488
hahahahaha ustadh mwidhJamani ndugu zangu huyu jamaa ni tapeli .ameshaniliza pesa zangu mwaka Jana na channel niliziona siku moja tu kisha zikapotea kumpigia simu hapokei.
Pia hata humu jf kuna Uzi ulishawekwa kumhusu huyu jamaa .watu walitahadharishwa waupuke huyu jamaa ni mwizi na tapeli