Huduma ya Direct sales kwa huduma na Bidhaa Mbalimbali

Huduma ya Direct sales kwa huduma na Bidhaa Mbalimbali

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Je wewe ni mmiliki wa bidhaa au huduma mbalimbali?Je ungependa kuwafikia wateja wengi ili wafahamu kuhusu huduma zako na bidhaa zako?Je ungependa kutumia mbinu za kisasa za masoko ambazo zinaunganisha matumizi ya teknolojia,weledi na ubunifu katika kuwafikia wateja kwa gharama nafuu?Kama jibu ni ndio basi MASOKO CONSULTANTS ni suluhu yako:

Huduma zetu zinawafaa wamiliki wa maduka ya vifaa na bidhaa mbalimbali pamoja na mitambo,watoa huduma za aina mbalimbali,wauzaji wa mashamba na viwanja n.k.Mfumo wetu wa utoaji huduma ni rahisi na nafuu na unafaa biashara zinazoanza na zilizokuwa na unakuwa na matokea ya haraka.

Je tunakupa huduma gani?
  1. Tunakuwa na Branded display booth ambayo inakuwa na wahudumu ambao wamepewa mafunzo kuhusu bidhaa na huduma zako ambao watawapatia ateja taarifa kuhusu huduma zako
  2. Tunakusanya database ya potential clients na kukupa online database ya kuweza kuwatumia emails/sms
  3. Tunatengeneza groups za whatsapp na telegram kwa ajili ya kuwezesha wateja wako kujiunga na kupataa taarifa zaidi
  4. Tunakusanya orders na kufanya fullfilment
  5. Tunawatembelea wateja katika makazi yao na kuwapa demonstration ya huduma/bidhaa zako mfano security systems etc
  6. Tunafuatilia madeni kwa niaba yako
  7. Tunatoa huduma nyingi za kukuwezesha kufikia wateja wengi kwa gharama nafuu na muda mchache.
  8. Tunakufanyia utafiti wa msoko ya bidhaa na huduma zako
Kwa maelezo zaidi juu ya gharama zetu na namna unaweza kufaidika na huduma zetu tafadhali wasiliana nasi kwa email masokotz@yahoo.com au whatsapp 0785688736

Karibu sana tukuze biashara yako
 
Back
Top Bottom