Huduma ya HaloYako kutoka Halotel

Huduma ya HaloYako kutoka Halotel

karim jr

Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
33
Reaction score
18
Salaam wakuu,
Tafadhali naomba niulize kama miongoni humu kuna watu waliowahi kutumia huduma ya Haloyako kutoka Halotel.

Huduma hii inahusisha kutunza pesa na kupokea riba kidogo, kutoka haloyako. Naomba kujua kama kuna wadau wameweza kutunza na kupokea pesa zao bila matatizo.

Naomba uzoefu wanu kwenye hili tafadhali. Asante sana
 
Back
Top Bottom