SOFTWARE Huduma ya iPhone/iCloud unlock

SOFTWARE Huduma ya iPhone/iCloud unlock

Travis Walker

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2017
Posts
323
Reaction score
334
Habari, tunatoa huduma za ku bypass iCloud kwenye iPhone yako. Huduma ni Kama zifuatavyo

iCloud activation = Huduma hi ni pale iwapo umesahau email na password za iCloud. Na huwezi kuendelea kutumia iPhone yako

iPhone Passcode/Disabled = Huduma hii iwapo umesahau passcode au iko disable bila ya kudai activation.

iCloud Mi Service = Huduma hii iwapo unaweza kutumia iPhone yako lkn password ya icloud umesahau. Hivyo unahitaji kuitoa Hiyo na Kuweka ya kwako.

Note: Simu ambazo ni iPhone MEID hazitosoma network baada ya ku bypass ila unaweza tumia features zote zilizobakia. Ambazo sio meid zinakubali kila kitu isipokuwa hutoweza kupata update maya.

iPhone meid ni kuanzia iPhone 5 mpaka 6 plus.

Kupata Huduma wasiliana nami kupitia

Call/SMS/ WhatsApp
0745 521 126

AHSANTE SANA
 
Iphone 11 pro max mnaweza?
 
Iphone 11 pro max mnaweza?
haha,wakiweza ina bidi apple wawaajiri.nachojua unaweza fanya alicho kisema mwisho series za iphone6.kuanzia 7 nilazima ubadil logic board.na kila logic board ina finger print sensor locked zimatch na logic board yake kuanzia iphn 7.Kuania iphone 7 unaweza hamisha logic board yake ila kama huna finger print sensor ilokuja na hiyo logic board finger print haita fanya kazi
 
Tunafanya software only hatufungui simu. Kinachotokea tuna bypass icloud na ndio maana simu tuna bypass hazitopokea update mpya. Na kuifuta kabisa activation tunawalipa Apple wenyewe kupitia server zao.
 
Yaani iphone 11 pro max iloibiwa nyie mnaweza ifungua?
 
Hizo meid devices hazibadilishwi board isipokuwa tu unapo bypass meid devices kwasababu hazitumii IMEI badala yake hutumia MEID ndio GSM module inayowezesha network hutoweka baada ya ku bypass
 
Yaani iphone 11 pro max iloibiwa nyie mnaweza ifungua?

Sisi tunakuwa hatubebi wezi hivyo tukigundua hilo policy zetu zitashindwa kufanya kazi. Hata hivyo ikumbukwe ya kwamba hakuna uwezekano wa kubadilisha IMEI mpaka sasa, hivyo hata ukiweza kutumia bado Cyber security wata kutrack na hata km ingeliwezekana kubadilisha IMEI sisi hatutofanya maana policy zetu haziendani na illegal stuff.
 
Yaani iphone 11 pro max iloibiwa nyie mnaweza ifungua?
inshort jamaa labda anaongelea kitu kingine labda.Yaani iphone iliyo icloud locked wao waweze ku bypass ?Hiyo ina maanisha ku hack apple servers.Kitu hicho hakiwezekani hata ndotoni,Hakiweekani kuanzia iphone 7,hauwezi kabisa
 
Tunafanya software only hatufungui simu. Kinachotokea tuna bypass icloud na ndio maana simu tuna bypass hazitopokea update mpya. Na kuifuta kabisa activation tunawalipa Apple wenyewe kupitia server zao.
mnawalipaje mkuu?wakati device yenyewe ikiwa locked ni una option mbili tu zinasomeka.Moja kumbuka credentials zako ulizotumia,au kama ulipewa na mtu ni muulize aliyekupa simu hizo credential .Zinasomeka kiuwazi kabisa.Tueleweshe hilo somo mkuu 😛😛
 
Mkuu sisi watu tupo katika field tofauti unachohisi wewe hakiwezekani basi ufahamu kuna watu wanafanya.
 
inshort jamaa labda anaongelea kitu kingine labda.Yaani iphone iliyo icloud locked wao waweze ku bypass ?Hiyo ina maanisha ku hack apple servers.Kitu hicho hakiwezekani hata ndotoni,Hakiweekani kuanzia iphone 7,hauwezi kabisa

Mkuu kama uko nayo iPhone km hiyo mm nitakufanyia bure iwe evidence half utaleta mrejesho hapa.
 
Mkuu sisi watu tupo katika field tofauti unachohisi wewe hakiwezekani basi ufahamu kuna watu wanafanya.
unajuaje tuko field tofauti?Nimekuomba maelezo tu.Hata kama field ni tofauti mi nikawa nawaza hakiwezekani na wewe unajua kinawezekana si unanielekeza tu mkuu?Basi nyinyi mtakuwa wakali sana maana China wanako assembe hio simu hawawezi ku bypass kuanzia iphone 7
ila nyinyi unaweza 😛
Hii hapa ni iphone 7,kuna mtu mbishi akasema china wanatoa icloud,kaleta wakachomoa.Mimi ndio nikamfanyia kai.Nina fahamu nachokiongea mkuu,au labda kama nimepitwa na wakati tuko 2040
iphone 7.jpg
 
View attachment 1675976

Sasa mkuu wewe bisha, ila zoezi linawezekana na tumeshafanya mara sio moja mpaka mm nakuja hapa kutupia tangazo najua ninachokifanya.
 
Huu mtanange mkali, iphone ya mke wangu ilikuwa haisomi line. Kenge mmoja kariakoo akaifungua fungua we mwisho akadai haifai. Imekufa sijui kifaa gani haipandishi network. Cost alitaka 40K mwisho tukaichukua na hela hakula hata 100! Matokeo yake simu imefungwa ikazalisha tatizo jengine, flashlight haiwaki.

Kumbe ile simu kuna namna ikiwa inazimika chaji mara kwa mara inaji disable network adapter hadi ufanye reset kwenye settings tu.Kuna mwana akapiga simu moja mahali akatusaidia chap chap. Ile simu within 10 minutes ikapandisha network kitendo cha kuizima na kuiwasha. Akala 10 chap chap!

Maana nilishawaza hesabu za kununua simu ingine January hii maana ile simu ingekuwa ipod tu. Ila ilirudi katika uzima japo yule fundi wa kwanza amezalisha tatizo jingine la flashlight.
 
Pole mkuu kwa uharibifu wa simu yako. Kariakoo wengi ni wababaishaji. Take care next time
 
Back
Top Bottom