Huduma ya ku bypass iPhone iCloud na Unlocking

Huduma ya ku bypass iPhone iCloud na Unlocking

Travis Walker

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2017
Posts
323
Reaction score
334
Habari wakuu, Ninatoa huduma ya ku bypass iCloud kwenye iPhone Huduma ni kama ifuatavyo

iPhone Bypass (Huduma ina bypass iCloud activation na unaweza kuendelea kutumia simu yako kama kawaida bila kujua email wala password)
iPhone Disabled/Passcode (Kama uko na iPhone haujui passcode zake au iko disable na iCloud haukumbuki inaweza kutoka passcode bila ya kudai activation baada ya hapo)
iPhone IMI Services (Kama uko na iPhone ambayo unaweza kuitumia lakini imesainiwa na iCloud ambayo huijui password zake. Kupitia huduma inaweza kutoka na kuendelea kutumia iCloud nyengine ya kwako)

NOTE: iPhone ambazo ni MEID kama vile iPhone 6, 6s, na 6 Plus zinaweza kuwa bypassed lakini hazitokubali kusoma Network kwa maana hutoweza kupiga wala hutopata access ya Mobile Data lakini features nyengine zote za iPhone zitakubali kwa watu walio na access na WiFI ni bomba. Hata hivyo simu yoyote ambayo itakuwa bypassed haitoweza kupokea update mpya Pia tunaweza ku unlock iPhone yoyote moja kwa moja bila kuwa bypassed lakini bei ya juu so Utapiga tuongee vizuri.

Simu ambazo sio MEID zitafanya kila kitu kupiga, uwezo wa kutumia laini baada ya ku bypass.

KARIBU TUKUHUDUMIKIE


MAWASILIANO : 0745 521 126

WHATSAPP: 0745 521 126
 
Back
Top Bottom