K Kadanga Senior Member Joined Apr 6, 2012 Posts 100 Reaction score 58 May 7, 2025 #1 Kwa uhitaji wakung’oa visiki shambani kwakutumia kifaa maalumu.Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano: 0719789087 Attachments Screenshot_20250507-110251_1.jpg 490.6 KB · Views: 47
Kwa uhitaji wakung’oa visiki shambani kwakutumia kifaa maalumu.Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano: 0719789087
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 May 7, 2025 #3 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
D Dynamics JF-Expert Member Joined Feb 2, 2024 Posts 250 Reaction score 353 May 7, 2025 #4 Kazi njema
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 25,370 Reaction score 57,943 May 7, 2025 #5 Duh! Haya bhana mambo ya VETA. Haibaki mizizi kikaota tena?
mwaibile JF-Expert Member Joined Nov 16, 2022 Posts 2,136 Reaction score 5,175 May 8, 2025 #6 Ww mgeni na hii kazi naona yan local kisiki ni 300 mpaka 500 kwa kisiki sasa nikulipe ww 2000 ya nn
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,734 Reaction score 140,476 May 8, 2025 #7 Hiyo mashine yauzwa bei gani? Maana hili pori sijui nalianzia wapi
K Kadanga Senior Member Joined Apr 6, 2012 Posts 100 Reaction score 58 May 8, 2025 Thread starter #8 mwaibile said: Ww mgeni na hii kazi naona yan local kisiki ni 300 mpaka 500 kwa kisiki sasa nikulipe ww 2000 ya nn Click to expand... Uchaguzi ni wako
mwaibile said: Ww mgeni na hii kazi naona yan local kisiki ni 300 mpaka 500 kwa kisiki sasa nikulipe ww 2000 ya nn Click to expand... Uchaguzi ni wako