Sukari anaongeza utamu?Jaribu kunyoa na sukari au jivu
Aongeze na honey ya Zuchu ikimpendezaJaribu kunyoa na sukari au jivu
Hivi shule hamjafungua tu?Hivi wadau kwa hapa Dar es Salaam naweza pata wapi sehemu ambapo wananyoa kwa ustadi nywele hasa za kifuani,kwapani na sehemu za siri….Mara nyingi nikijinyoa mwenyewe ninatokea kujichana au kujikata.
Tafadhali Wapi naweza kupata huduma ya kunyoa nywele hizo
Dunia ina mamboHivi wadau kwa hapa Dar es Salaam naweza pata wapi sehemu ambapo wananyoa kwa ustadi nywele hasa za kifuani,kwapani na sehemu za siri.
Mara nyingi nikijinyoa mwenyewe ninatokea kujichana au kujikata.
Tafadhali Wapi naweza kupata huduma ya kunyoa nywele hizo