Wakuu habari za muda,
Nipo kwenye kipindi cha kujiandaa ndani ya hii miaka miwili, nijiajiri. Nataka nipate huduma ya kusajiliwa kampuni, ni wapi nitapata huduma hiyo, kuna mambo yananibana kufanya mwenyewe,
Wapi nitapata huduma, na je inaweza nigharimu kiasi gani
Nawasilisha
Hii ishu na mimi leo nimejaribu kusajili online, vitu vilivyonishinda ni hvWapo wengi wanaosajili kama mawakala lakini NAKUSHAURI KASAJILI MWENYEWE UPATE UZOEFU. Andaa National ID kama huna hutaweza itakubidi usubiri. Pia TIN
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mm nikisajiri nikapata certificate mtandaoniTIN yangu ya driving inagoma
Dah hongera sanaMbona mm nikisajiri nikapata certificate mtandaoni