The BornAgain
JF-Expert Member
- Jun 23, 2024
- 428
- 582
Habari,
Nawasalimu, na kujipambanua kwenu kuwa kupitia elimu na weledi wangu katika masuala ya kutoa huduma ya kuandika maandiko au mapendekezo ya miradi, nipo hapa tena kwa huduma jumuishi na ya kimkakati ya kusaidia kusimamia mradi wowote hatua kwa hatua katika nyanja zifuatazo:
1) Monitoring and reporting
2) Evaluation and reporting
3) Resource management
4) Resource mobilization
5) Resource allocations
HAYA YOTE NA MENGINE YAHUSUYO yatafanyika site kwa mkataba. Faida za usimamizi huu ni kuhakikisha Mradi unafikiwa malengo, manunuzi sahihi, mda unazingatiwa, ubora unazingatiwa, uratibu wa matumizi ya rasimali fedha, vitu na watu.
HIi ni kwa miradi ambayo ni ya mda maalumu na mfupi au wa awamu awamu , kwamba mwenyewe hahitaji kuajiri full time employee. Mahali popote ilipo mradi tutafanya.