Huduma ya kutafuta kazi kwa kutumia simu (Kazi Mobile) yaonyesha mwanga Tanzania

justdoit

Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
63
Reaction score
4
Huduma hii ikiwa imezinduliwa mwaka jana tu tayari ina wafuasi zaidi ya elfu ishirini(20,000) na wengine wanaongezeka kila siku kwa kasi. Imeshasaidia watu wengi kupata kazi kirahisi kutumia simu ya mkononi tu.Huduma hii ni kwa masaa 24.

Ushuhuda:
John Francis
 
Ujasiriamali mwingine bwana...anyway it is great lakini kama watu wanafaidika na huduma hii.,nitaijaribu huenda ikanipa kazi nzuri kuliko niliyonayo sasa.
 
c kweli kwa huduma hiyo, una qualification ya ualimu, utakatwa hela wee wee na utatumiwa kazi za accountant wapi na wapi na unaweza tumiwa hiyo post kila cku, asikudanganye mtu
 
Weweee ! Don't ever prejudice basing on history or tales ! Siyo watu wote ni wahuni au wabinafsi..Tunataka kuwasaidia watu na tumeshayaona mafanikio kutoka kwa ndugu na marafiki na kamwe hatutakomesha huduma hii. Our clients get value of their money. If you opt for driver unapata kazi ya dereva tunapoipata na kama hatuna hatuwezi kukutumia yoyote, ukiomba yoyote unatumiwa yoyote. Simple like that my brother.Try you will see for your self. Thanks
 
Tatizo natafuta kazi za mkoa mmoja nyinyi mnatuma za mikoa yote Tanzania,sasa mpaka nipate ninayoitaka si nimeshakatwa hela kibao jamani?
 
Labda,lakini unakuta wamekutumia message inayoonyesha nafasi za kazi mbalimbali.Deadline ni kesho,wanakutumia leo.Kwenye msiba pia kuna furaha.Yakuambiwa changanya na akili zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…