Huduma ya kutotoresha mayai

Huduma ya kutotoresha mayai

kazobe

Member
Joined
Jun 2, 2011
Posts
18
Reaction score
0
Je una mayai lakini huna mashine ya kutotoresha na unaishi maeneo ya kanda ya ziwa hasa karibu na kahama. Huduma hii inapatikana njoo na mayai ili upate kutotoreshewa. Hii ni kwa ajili ya watu waishio maeneo jirani na mji wa kahama na hata kanda ya ziwa kwa maelezo zaidi piga 0755466011. Usipate shida kwa kuwa huna mashine fuga kuku wengi hata kama huna incubator. Karibuni wote.
 
Back
Top Bottom