Sikukuu kama hii nakaa na mke na watoto.familia ipi utakuwa nayo? baba na mama au mke na watoto?
Hio jeans,top na hizo nywele...zile zileRRONDO mbona unaniandama jamaan na avatar yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hio jeans,top na hizo nywele...zile zile
am dead? umeoa jamani? ndo nilitaka kuleta mahariSikukuu kama hii nakaa na mke na watoto.
Haya bwanausinunee we napenda ukitabasam e e everyday napenda ukitabasam...
Ulete mahari umesikia mimi muhindi? Kweli akutukanae hakuchagulii tusiam dead? umeoa jamani? ndo nilitaka kuleta mahari