Huduma ya kuzimikia/kudondokea wadada JF imesitishwa kwa muda.

Hahahahahahahah lol
nini kilimtia moyo kiasi hicho?
avatar,signature au posters..?
We acha tu AD wangu kuna watu wanaweza kuigiza jinsia nyingine hadi unaingia line ukistuka tayari umeumia.
 
Aaaa Uporoto...acha wivu bana....🙂
Smily it has happened dear hata wewe ikitokea kukuzimikia/dondokea(hypothetically ofcoz) itabidi unitumie copy ya birth cert. and passport people's feelings are getting hurt sweety.
 
Smily it has happened dear hata wewe ikitokea kukuzimikia/dondokea(hypothetically ofcoz) itabidi unitumie copy ya birth cert. and passport people's feelings are getting hurt sweety.

Hakuna kitu nakipiga vita/ nakichukia maishani mwangu kama kumuumiza mtu kihisia. Sipendi kabisa, na ndio maana wakati wote najitahidi kuwa mkweli na Mungu anisaidie niishi hivyo maisha yangu yote.
 
hahahahahaha! Uporoto ckuwez ndg yng. Nmecheka mpaka machozi yamentoka! Nmependa jamaa alvyoishia kutoa huduma! Tehe, tehe, tehe! Ndo wakome kuzimikia avatar za wa2!
Jamani AD tusubiri uthibitisho bana kuna jamaa hapa alidhani atapata huduma akaishia kutoa huduma hahaha!
 
Smily it has happened dear hata wewe ikitokea kukuzimikia/dondokea(hypothetically ofcoz) itabidi unitumie copy ya birth cert. and passport people's feelings are getting hurt sweety.

Mhhh...haya bana!

Unajua mimi sielewi, kama unamzimikia mtu kwanini usianze naye huko kwa PM, then mwisho wa siku utajua tu kama umeingia choo cha kike au cha kiume! Na anaweza kukuzima mapema kabla hujaungua....🙂
 
Good advice,kuna huyu dada kaja na mpya eti waziri ananitongoza u kanti bilivu.
 
hahahahahaha! Uporoto ckuwez ndg yng. Nmecheka mpaka machozi yamentoka! Nmependa jamaa alvyoishia kutoa huduma! Tehe, tehe, tehe! Ndo wakome kuzimikia avatar za wa2!
We acha tu hahaha!
 
Aaaa Uporoto...acha wivu bana....🙂

LOL! labda wanataka kumpora mrembo wake wa hapa jamvini..hivyo imebidi aanze kujihami mapema na kusitisha huduma hii ya kuanzisha "sredi" ya mrembo ambaye njemba (zi)anamzimikia
 
Huduma ya kuzimikia/kudondokea kinadada humu JF imesitishwa kwa muda hadi hapo mtakapotangaziwa tena baada ya jamaa wawili kuwazimikia njemba ambao wao walidhani ni kinadada,kinakaka wanashauriwa kutozuzuka na avatar za wanachama wa MMU.
Hahaha kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…