Huduma ya kwanza kwa mtoto aliyepaliwa..

Huduma ya kwanza kwa mtoto aliyepaliwa..

Clemoo

Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
71
Reaction score
15
Jaman wakuu, naombeni mnisaidie ntafanyaj kutoa huduma ya kwanza kwa mtoto aliye paliwa? Jana mtoto mmoja alipaliwa hapa nyumbani and i was helpless iliniogopesha sana
 
Back
Top Bottom