Huduma ya kwanza kwa mtu aliyeumwa na Tandu

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
3,564
Reaction score
1,991
Assalam Alaykum wana Jamiiforums. Nilikuwa nasikia huyu mdudu Tandu ana sumu kali akikuuma lazima kamasi likutoke kwa uchungu wa maumivu. Leo yamenikuta huyu mdudu ameniuma, lakini nimefanikiwa kumuua. Sasa ninapata maumivu makali mno, nahitaji huduma ya kwanza kwa mtu aliyeumwa na Tandu anatakiwa kufanya nini? Asanteni.
 
ISIS, nahitaji kwanza huduma ya kwanza kabla sijachukua uamuzi wa kwenda hospital.
 
Huwa joto mwili linapanda tym 2 tym ila ni kwa masaa kadhaa fika hosp haswa lugalo ndio tiba hizo hupatikana: kuna wale wana kijani mgongoni ina sadikika hawana sumu kali ila wale wekundu na nyuma kama wana mbawa mbili hua ni hatari
 
Kuna jamaa wamesema Tandu anaua hii ni kweli, au nikutishana tu?
 
Kwangu me siamini sana kama ana sumu kali sana, nishawahi kung'atwa na tandu, mafhara niliyopata ni kuvimba hilo eneo kwa muda week nadhani na maumivu makali ambayo hayakudumu muda mrefu sana
 
Mkuu Mimi nilishawahi kuumwa na Tandu na Nge pia!

Maumivu ya Tandu ni Makali kwa muda ila maumivu huendelea kwa kiwango flani hata week nzima, binafsi sikwenda Hospital niliendelea tu na mishe zangu, sasa imepita miaka 10, na niling'atwa Ubavuni.
 
Jamaa umeumwa na tandu na bado unauwezo wakuingia JF? Basi tandu hana maumivu kama nnavyosikiaga watu wakisema
 
Mdudu yeyote mwenye sumu tata akakung'ata kama una afya mgogoro huchukui round ila kama una afya unaweza kupona ila kama ukichelewa matibabu hali inaweza badilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…