Kwa experience ya case mbalimbali ambazo hufikishwa hospitali huku hali ikiwa mbaya kiasi au kushindwa kufikishwa kabisa basi ni dhahiri kwamba huduma ya kwanza ni muhimu sana. Huduma ya kwanza :
1. Husaidia kuokoa maisha
2. Husaidia kupunguza maumivu na kuzuia hali ya mgonjwa isizidi kuwa mbaya
3. Husaidia kuharakisha uponaji
Naomba nitumie fursa hii kuwahamasisha WanaJf wenzangu tujenge utamaduni wa kuwa na vifaa vya huduma ya kwanza nyumbani na kazini pamoja na kupata mafunzo ya huduma ya kwanza ili kusaidia afya zetu.
Naitumia likizo yangu kusaidia kutoa huduma ya kwanza kwa jamii, elimu ya afya na ushauri juu ya mambo mbali mbali ya afya. Yeyote mwenye kuhitaji kusaidiwa basi namkaribisha sana!