neyl
Senior Member
- Nov 23, 2011
- 127
- 19
jaman naomben ushauri, me nilkuwa na bf wangu 2lipendana sana akanitambulisha kwao ikabak ye kuja kwe2, sasa hapo pakaanza utata me nataka aje ajitambulishe ye anajivuta vuta ikafika point 2kagombana sana na nilmtolea maneno makali later nikajishusha nikamwomba msamaha akanambia yameisha 2kaishi vzuri afta mwez nikapewa kibuti kuhoj sababu napewa zile za kipindi kile cha ugomvi, nifanyaje jaman na nampenda huyu kaka sana