Nina assume jamaa alianza hivi
Nilitukanwa sanaaaa, nimetafakari sanaa, kwaniaba ya familiy yetu na mimi mwenyewe nimeona sinabudi Ning`atuke mwenyewe.
Pole sana sana dada yangu ila kama ndo mchizi kasepa jifunze kutokana na makosa, coz hata mimi ni mgumu kwenda kutambulishwa upande wapili, nitakupenda sana, nitakupa kila kilocho ndani ya uwezo wangu, naright time ikifika nitakuja kujitambulisha bila hata kuombwa, so don`t ask for this next time mapema, tumia muda huo kuona kama atakuwa mume na baba wa watoto wenu mwema