Ni masaa matano tokea system ya LUKU kupotea yaani huwezi kununua umeme
Hii ni ishara mbaya kwa waziri na serikali kwa ujumla kwa hili tatizo kujitokeza mara ya pili ndani ya miezi miwili
Mama samia Ebu kuwa mkali kidogo yaani nina uhakika madudu mengi yatakuja kwa utawala huu, mchwa wa harimashauri wataanza kutafuna pesa za umma na mwisho wa siku maisha ya naendelea
Huu utakuwa utawala GOIGOI