Wakazi wa Kimara yote wilayani Ubungo mkoa wa Dar es Salaam hawana huduma ya maji tangu siku ya Alhamisi,hali inayozua sintofahamu kwani imekuwa ni kawaida kukatika kwa maji kila mwisho wa wiki wa kwa takribani mwezi mmoja sasa.
Hahaha CCM wakihutubiana walisema maji na umeme ni historia Tanzania. Sijui tutasaini mkataba na nchi gani kama sio Uturuki basi DUBAI tena watusaidie kuondoa kero ya maji nchini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.