KERO Huduma ya Maji Kimara haipo tangu Alhamisi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Hjalte

Member
Joined
Oct 20, 2023
Posts
26
Reaction score
105
Wakazi wa Kimara yote wilayani Ubungo mkoa wa Dar es Salaam hawana huduma ya maji tangu siku ya Alhamisi,hali inayozua sintofahamu kwani imekuwa ni kawaida kukatika kwa maji kila mwisho wa wiki wa kwa takribani mwezi mmoja sasa.
 
Utakuta mjinga anaenda kupiga kura kuichagua CCM.
 
Nenda kajiandikishe, maji yatakusaidia nini?!
 
Hahaha CCM wakihutubiana walisema maji na umeme ni historia Tanzania. Sijui tutasaini mkataba na nchi gani kama sio Uturuki basi DUBAI tena watusaidie kuondoa kero ya maji nchini.
 
Hata Kibaha mailimoja maji hakuna tangu Jmosi iliyopita (juzi) hadi Leo. Nimeamini mswahili kujiongoza/kujitawala bado sana, labda miaka 1000 ijayo.
 
DAWASA tuambieni tatizo halisi. Kipindupindu hakitakuja kuisha katika Jiji hili!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…