Inawezekana bosss unaondolewa visiki vya meno ( Roots ) kisha tunachukua kipimo tunakutengenezea meno bandia ya Kuvaa na Kuvua Utatabasamu vizuri na kujiaminiTatizo mimi huwa Nina mapengo lakini Bado kuna vishina vya meno Bado vimebaki,yaani meno hayakung'oka ila yalimomonyoka,sidhani kama meno bandia tatakaa.