Zipo kwa Stakeholder ie Bank kama alivyosema Mku hapo juu ila tatizo ile fomu ni ya kwa matumizi ya office ila ukiweza kusaidiwa na mtu yeyote aliye mle anaweza akakupatia
Ila fahamu sio haki yako ni msaada tu, either akupe au asikupe you have no right... unaenda kuomba na ni vyema uende bank ambayo unatumia huduma zao