DOKEZO Huduma ya Pacemaker haipo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wagonjwa wanakufa

DOKEZO Huduma ya Pacemaker haipo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wagonjwa wanakufa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Desprospero

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
1,015
Reaction score
2,493
Bandugu, kama unaye mgonjwa wako Muhimbili na anahitaji huduma ya Pace Maker (umeme wa moyo) hali ni balaa. Wanaahidiwa tu sasa ni zaidi ya miezi miwili. Wagonjwa wanakufa.

Dada yangu ameahidiwa kuwekewa zaidi ya mwezi kumbe hakuna kitu. Amefariki Leo.
---
Habari hii imefanyiwa kazi Jamiicheck kusoma tafadhali gusa link hii hapa chini
- MPYA - Huduma ya Pacemaker haipo Hospitali ya Taifa Muhimbili

Pia soma: Ufafanuzi wa JKCI: Ni kweli kulikuwa na upungufu wa Peacemaker ila hakuna mgonjwa aliyekufa kwa kutowekewa kifaa hicho
 
Mpigania afya za watanzania hayupo ambaye alitaka hadi viongozi watibiwe hapa.

Huyu wa sasa viongozi wote anawapeleka nje kutibiwa. Hata mzee makamba alienda nje kutibiwa macho. Kwa hiyo afya za watanzania wa kawaida haiwezi kuwa kipaumbele kwake.
 
Haya mambo yange pata suluhisho la kudumu kama viongozi wa serikali wangelazimika kutibiwa hapa, kama ukienda nje ya nchi iwe nikwa gharamazako mwenyewe.

"Pole sana ndugu."
 
Mpigania afya za watanzania hayupo ambaye alitaka hadi viongozi watibiwe hapa.

Huyu wa sasa viongozi wote anawapeleka nje kutibiwa. Hata mzee makamba alienda nje kutibiwa macho. Kwa hiyo afya za watanzania wa kawaida haiwezi kuwa kipaumbele kwake.
Mpigania afya kutwa nzima anaangaika na masheik kutengenezewa makombe.
Ubishi mpaka kifo kikamkuta
 
Bandugu, kama unaye mgonjwa wako Muhimbili na anahitaji huduma ya Pace Maker (umeme wa moyo) hali ni balaa. Wanaahidiwa tu sasa ni zaidi ya miezi miwili. Wagonjwa wanakufa.

Dada yangu ameahidiwa kuwekewa zaidi ya mwezi kumbe hakuna kitu. Amefariki Leo.
Mwanzisha mada weka taarifa zako vizuri. Tokea lini wakatoa huduma ya Pacemake? Nachojua Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ndio inatoa huduma hiyo ikiwa inaendesha shughuli zake kwa kujitegemea.
 
Mkuu nikupe pole kwa kufiwa na Dada pole sana.Lakini namna ulivyoandika sio sawa.Kama ulimaanisha JKCI kwa Sasa wanazidiwa sana na wagonjwa,pengine tunahitaji uwekezaji mpya zaidi, hata Mimi wiki nimekuwa pale muda mwingi.

Ni naweza kusema ni bahati mbaya au ni jambo jema kwa nchi kuwa nchi jirani Sasa zinaitegemea taasisi yetu kwa issue za Moyo.

Mfano jumatatu ya wiki taasisi iliattend wagonjwa karibia 300.Hicho kifaa unachosema ni ghali na ni imported hivyo sio rahisi kukipata haraka haraka.Samahani mkuu lakini ni muhimu tuzingatie uhalisia.
 
Mpigania afya za watanzania hayupo ambaye alitaka hadi viongozi watibiwe hapa.

Huyu wa sasa viongozi wote anawapeleka nje kutibiwa. Hata mzee makamba alienda nje kutibiwa macho. Kwa hiyo afya za watanzania wa kawaida haiwezi kuwa kipaumbele kwake.
Yeye mwenyewe magufuli alikuwa na pacemaker, ukiongeza 2+2 ukipata jibu utajuwa kwa nini alikufa
 
Back
Top Bottom