Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
ni gharama ila mtu una nguvu kidogo bora uende nairobiPole sana
Hivi Suleman Jaffo ni Waziiri wa nini?Fanya yote hakikisha unapesa ya huduma za afya.
Muache kudanganywa na ccm sijui pesa za ndani,sijui tumewekeza afya.
Fanya yote hakikisha unapesa ya huduma za afya.
Muache kudanganywa na ccm sijui pesa za ndani,sijui tumewekeza afya.
Mazingira chini ya Makamu wa raisHivi Suleman Jaffo ni Waziiri wa nini?
Mpigania afya kutwa nzima anaangaika na masheik kutengenezewa makombe.Mpigania afya za watanzania hayupo ambaye alitaka hadi viongozi watibiwe hapa.
Huyu wa sasa viongozi wote anawapeleka nje kutibiwa. Hata mzee makamba alienda nje kutibiwa macho. Kwa hiyo afya za watanzania wa kawaida haiwezi kuwa kipaumbele kwake.
Mwanzisha mada weka taarifa zako vizuri. Tokea lini wakatoa huduma ya Pacemake? Nachojua Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ndio inatoa huduma hiyo ikiwa inaendesha shughuli zake kwa kujitegemea.Bandugu, kama unaye mgonjwa wako Muhimbili na anahitaji huduma ya Pace Maker (umeme wa moyo) hali ni balaa. Wanaahidiwa tu sasa ni zaidi ya miezi miwili. Wagonjwa wanakufa.
Dada yangu ameahidiwa kuwekewa zaidi ya mwezi kumbe hakuna kitu. Amefariki Leo.
Hujielewi.Mwanzisha mada weka taarifa zako vizuri. Tokea lini wakatoa huduma ya Pacemake? Nachojua Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ndio inatoa huduma hiyo ikiwa inaendesha shughuli zake kwa kujitegemea.
Hujielewi.
Yeye mwenyewe magufuli alikuwa na pacemaker, ukiongeza 2+2 ukipata jibu utajuwa kwa nini alikufaMpigania afya za watanzania hayupo ambaye alitaka hadi viongozi watibiwe hapa.
Huyu wa sasa viongozi wote anawapeleka nje kutibiwa. Hata mzee makamba alienda nje kutibiwa macho. Kwa hiyo afya za watanzania wa kawaida haiwezi kuwa kipaumbele kwake.