Huduma ya physiotherapy

Huduma ya physiotherapy

Mbunifu 11

Senior Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
104
Reaction score
52
Wakuu heshima kwenu,eti ni hospital gn nzr ya private inayotoa Huduma ya physiotherapy kwa dar?
 
Kairuki japo wana wagonjwa wengi. Booking ya mapema ni muhimu.
 
Kaka habari.
naitwa Joseph ni Daktari wa fiziotherapia.

ningependa kukukaribisha kwenye kliniki yangu ipo maeneo ya boko basihaya.kama bado utakuwa na uhitaji wa huduma ya fiziotherapia.

karibu kwetu hakuna foleni, huduma bora katika mazingira mazuri na muda mwingi baina ya daktari na mgonjwa.

kama utahitaji huduma zangu nitafute kupitia 0718 22 48 40.

au fuatilia page. yangu ya instagram @physioplus_dar huelimike zaidi.
 
nashukuru.

Fiziotherapia /physiotherapist ni mtaalam wa afya ambaye anatibu matatizo ya viungo vya mwili yani mifupa,misuli,mishipa ya fahamu pamoja na maungio kwa kutumia mazoezi tiba.

lakin pia kwenye matibabu ya kifiziotherapia kuna viti vyengine zaidi ya mazoezi ambavyo vinatumia kutibu. mfano mashine za umeme (Tens) ,mashine ya ultrasound na mashine nyengine za kuvuta shingo na kiuno. vipi mashine nyingi pia ambayo sijazitaja.

magonjwa ambayo tunatibu mfano
kiharusi(stroke)
maumivu ya mgongo,kiuno,nyonga,shingo,bega,miguu na mikono
kisukari
kuchelewa kukua kwa watoto(delayed milestone)
mtindio wa ubongo(cerebral palsy)
Kuvunjika (mkono,mguu,uti wa mgongo)
kupooza mwili
watoto wenye vichwa maji(hydrocephalus)
matatizo ya ganzi(mikononi/miguuni)
kukosa nguvu za kiume(erctile dysfunction)
kukosa nguvu za kuzuia haja( wagonjwa wa uterine prolapse/fistula)

na mengine mengi siwezi kuyataja yote.

ila fahamu kwamba matatizo yote ya viungo wataalam wa fiziotherapia ndio wanaotibia.

kufahamu zaidi fuatilia page yangu ya instagram @physioplus_dar

au bofya hii link chini[emoji116][emoji116][emoji116]

Hebu tuelimishane Fiziotherapia ndio mnatibu nini na nini wajameni?

brief kidogo
 
Back
Top Bottom