Huduma ya Simba News sasa kupatikana kwa wateja wa Vodacom pia

RAHA KAMILI

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
203
Reaction score
83
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://3.bp.blogspot.com/-02oMoMeed...AIFU/btL4Aa5I2hs/s1600/SIMBA+NEWS+voda-03.png
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Habari za Simba kupatikana kupitia mtandao wa Vodacom
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Klabu ya soka ya Simba kwa kushirikiana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania leo zimezindua huduma mpya inayojulikana kama ‘Pata habari za klabu ya Simba’ ambayo itawawezesha wateja wanaotumia mtandao wa Vodacom kupata habari zinazohusiana na klabu ya Simba popote watakapokuwa hapa nchini.Kampuni nyingine shirika katika kufanikisha huduma hii ni Premier mobile solution na EAG Group.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Huduma hii mpya ya ‘Pata habari za klabu ya Simba’ni rahisi na ya ufanisi mkubwa kuwawezesha wateja kupata habari kwa haraka “Kutokana na kukua kwa sekta ya TEKNOHAMA Vodacom inaelewa umuhimu wa kuwapatia wateja wake taarifa wanazohitaji kuzipata kwa haraka na ndio maana leo imeshirikiana na klabu ya Simba na kampuni ya PMS kuanzisha huduma hii inayowawezesha wateja wetu kupata habari za papo kwa papo na zenye uhakika wakati wowote kupitia simu zao za mkononi”.Amesema Kelvin Twissa Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]mtandao wa Vodacom kupata habari motomoto na za papo kwa hapo kupitia simu Kwa upande wake msemaji wa Klabu ya Simba na Rais wa klabu hiyo Evans Avena amesema “Tuna imani huduma hii ni ubunifu wa aina yake ambao utakaowawezesha wapenzi wa klabu ya Simba na wapenzi wote wa mchezo wa soka ambao wanatumia zao za mkononi”.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]“Tunatoa wito kwa washabiki wetu na wapenda soka kujiunga na huduma hii ambapo watakuwa wanapata habari za papo kwa papo kuhusiana na Simba kutoka vyanzo vya habari vya kuaminika”.Alisema Aveva.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Kwa upande wa Mtandaji Mkuu wa kampuni ya EAG Group ambayo pia ina mbia katika huduma hii Imani kajula,alisema kuwa huduma za namna hii zinawarahishia maisha kwa kupata habari motomoto wateja wanaotumia mitandao ya simu kama ambavyo Vodacom itatumia mtandao wake kuwafikishia habari motomoto za klabu wa Simba kwa wateja wake.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Kwa upande wake Meneja Uendeshaji wa kampuni ya Premier Mobile Solution Lulu Ramole alissema huduma hii ya aina yake itarahisisha wapenzi wa habari za michezo kupata habari za motomoto kupitia mtandao wa Vodacom kwa gharama nafuu ambapo mteja atatozwa shilingi 150 kupata huduma hii kwa siku na fedha hizo zitakatwa kwenye salio lake la muda wa maongezi.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Kupata huduma hii mteja anatakiwa kutuma neno SIMBA kwenda namba 15460 na baada ya kutuma ujumbe atapokea ujumbe wa kumfahamisha kuwa amejiunga na atakatwa na kuendelea kupokea habari na kupitia huduma hii mteja anaweza kupata habari za klabu ya Simba kuanzia tatu na kuendelea kwa siku.Iwapo mteja atataka kujiondoa kuitumia huduma atatakiwa kuandika neno ONDOA SIMBA kwenda namba 15460.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Kwa taarifa zaidi wanaweza kupata kwenye websiteya Simba www.simbasports.co.tz

Hii ina mapungufu. Ni kawaida kila kampuni ya Simu inapotoa huduma mpya husambaza ujumbe mfupi kwa wateja wake. Lakini hii huduma ya habari za Simba tunaiona kwenye mitandao tu kwenye simu zetu haifiki.Ninachoona haiwezi kuleta ufanisi.
 
Na huduma ya simba tv inapatikana wapi siku hz
 
[BONGOTIPS FOOTBALL PREDICTIONS] (www.bongotips.com) ni site mpya kutoka hapahapa TZ inayokupa utabiri wa mechi mbali katika ligi tofauti zinazoendelea duniani.
Pata records za mechi zilizopita, pata utabiri wa watumiaji wa site, pata utabiri wa bongotips, tembelea forums kwa majadiliano ya mechi. na mengineyo mengi.
Wapenda soka na kubet wengi wameshajiunga na site hii kupata utabiri. Unangoja nini join the community "BONGOTIPS HATUCHANI MIKEKA WEKA PESA CHUKUA PESA". Utabiri wa jana picha zipo chini
 
Back
Top Bottom