Mungu pekee ndo anajua juu ya huduma za afya,Lakini kupanda lidrimulaina nako ni afya!!Pole sana mkuu,nimefikiria Drimulaina iliyoletwa juzi juzi sirikali kama yote wakaipokea na itakayokuja 2019 wakati CT Scan kanda yote ya nyanda za juu hakuna mpaka mtu aletwe DSM.