Huduma ya uchimbaji wa visima Dodoma

Huduma ya uchimbaji wa visima Dodoma

Mayor of kingstown

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
2,898
Reaction score
4,156
Hii ni dodoma tu na wilaya zake zote tuna tambua tabu ya upatikanaji wa maji dodoma, ivyo Kwa mahitaji ya:

-kuchimba kisima kirefu au kifupi kwa matumizi ya nyumbani, shamba au mifugo

-kusafisha (flushing) na marekebisho ya kisima

-kufunga pump na matengenezo ya pump

-na mahitaji mengine yote yanayohusu kisima

gharama ya uchimbaji ni Elfu 60,000 kwa meter

Inbox iko wazi
 
Sawa Mkuu!
 
Baada Ya Kuchimba Kisima Halafu Taratibu Zote Kukamilika
Naomba Kupata Uzoefu Ile Kamba Ya Nylon Inayoshika Pump
Inatakiwa Kuiweka Mpya Baada Ya Miaka Mingapi ?
 
Hivi kuchimba kisima ndio kutoboa maji? Mimi nipo newala mkoa wa mtwara nikihitaji kutoboa maji shambani kwangu
 
Back
Top Bottom